che chaunichile
JF-Expert Member
- Jul 4, 2026
- 682
- 1,120
Idadi ya veta na shule zilizokusudiwa?Veta hawafundishi ufundi?..hujaona kila shule kuwepo watu wa veta kwenye hiyo taarifa?
Hii siyo uandishi per se bali ni uduni wa elimu nzima. Huu mfumo wao mpya walishirikisha wataalam na kuangalia elimu za wengine au ndiyo wamekurupuka kama kawaida yao? Walishafanya matayarisho? Ujinga unaoendelea nchi sasa hivi ni matokeo ya Nyerere kufumua mfumo wa elimu waliyoacha wakoloni na yeye kubuni mfumo wake. Si ajabu hata sasa hivi tunafanya tena kosa jingine linalofanywa kwa mihemko ya wanasiasa ucharwa.Waweke msisitizo kwenye uandishi watu wanamaliza vyuo hawajui tofauti ya R na L. A na HA. Uandishi umekua janga la taifa kama somo la Hisabati.
Mkuu hiyo ni sehemu ya historia ya nchiHongera.
Yale mambo ya sijui Kinjektile ngwale alifia daraja gani YAFUTWE haraka sana.
Hicho kitu kitabaki hivyohivyo,wasoma historia ya ufundi na historia ya sayansi,vitendo 0Bado imeegamia kwenye nadharia zaidi. Kwa namna fulani ilibidi ufundi iwe mandatory. Ukienda kusoma Physics ulazimishwe kusomea ufundi fulani kama ni mechanics, electronics, etc etc ili ukitoka hapo uwe na uwezo wa KUFANYA.
Eti elimu! ukiwa unasoma humu utadhani wana hizo shule za kufundishia watoto! WakaMuulize profesa Mkenda
😆😆
Utadhani kuna shule na mazingira ya kufundishia watoto wetu! Jamani hawa viumbe hawana aibu shule zenyewe ni magofu tu hata hiyo physics inayosemwa haina uhusiano na mahala inaposemwa itafundishwaMuulize profesa Mkenda
😆😆
Hii siyo uandishi per se bali ni uduni wa elimu nzima. Huu mfumo wao mpya walishirikisha wataalam na kuangalia elimu za wengine au ndiyo wamekurupuka kama kawaida yao? Walishafanya matayarisho? Ujinga unaoendelea nchi sasa hivi ni matokeo ya Nyerere kufumua mfumo wa elimu waliyoacha wakoloni na yeye kubuni mfumo wake. Si ajabu hata sasa hivi tunafanya tena kosa jingine linalofanywa kwa mihemko ya wanasiasa ucharwa.
Unaijua coding? Python? Php? ASP? C, C++, PASCAL, COBOL, VB etc???Ni kama shule za kata zilivyopingwa,siku hizi zinatoa one na two kibao
Taratibu tutafika,tafuta watu wa computer science,it fundisha ualimu miezi sita sukuma kafundishe watoto coding
Sifa kwa lowassa bila yeye kusingekuwa na hizo "saint Abdullah".Ni kama shule za kata zilivyopingwa,siku hizi zinatoa one na two kibao
Taratibu tutafika,tafuta watu wa computer science,it fundisha ualimu miezi sita sukuma kafundishe watoto coding
Hili sahau mkuuIngeendana pamoja na sheria kali inayolazimisha watoto wa viongozi na wakuu wote serikalini watoto wao wasome shule za umma. Hii inajumuisha wabunge wote.
Basi mfumo wetu wa elimu hautakaa utulie, ni mwendo wa kugeuzwa geuzwa kama chapati kila kukicha.Hili sahau mkuu
Mkuu nakubaliana na wewe. Kipindi cha Nyerere ilikuwa afadhali. Lakini ni afadhali kulinganisha na sasa na siyo kuwa ilikuwa ya kiwango kizuri ukilinganisha na nchi nyingine. Kuhusu huyu mzee wa Msoga, ndiyo mwasisi wa ujinga wote unaoendelea Tanzania sasa hivi. Angekuwa ameingia Salum pengine tungekuwa bado tuko vizuri,Hadi Nyerere anaondoka madarakani, elimu ilikuwa nzuri. Mtu akimaliza darasa la saba alikuwa anajua kusoma, kuandika na hesabu vizuri, na angeweza kuingia kwenye soko la ajira. Elimu ilianza kuvurugika zaidi enzi za JK wa Msoga. Tangu hapo, shule nyingi zinapika mabomu tu, na wahitimu wetu wanapata shida ku-compete globally, wakisikia wakenya au wageni wanaloa.
Imeshaanza mbonaHii inaanza kwa form one wa 2027?
Unadhani ni rahisi mtu kasoma Computer Science degree , alipata div one ya 3,4,5 Advance aende kuwa mwalimu kwa mshahara wa 900K?Ni kama shule za kata zilivyopingwa,siku hizi zinatoa one na two kibao
Taratibu tutafika,tafuta watu wa computer science,it fundisha ualimu miezi sita sukuma kafundishe watoto coding