nashangaa mazingira yetu na jinsi watanzania wanavyojitafutia riziki hasa vijana inaonyesha wengi sana wanahitaji kusoma ufundi- mfano tunaona karakana nyingi mijini na vijijini zinafanya kazi zikiwa hazina mafundi waliosoma veta na kuna misululu ya vijana wanajifunza ufundi katika karakana hizo. lakini cha ajabu naona hatutilii umuhimu ujenzi wa vocational training centers badala sasa tunataka tuanze ejenzi wa high school nyingi. hili liangaliwe upya maana hawa tunaowatengeneza wengi ni wanaotegea kuajiriwa na sio kutengeneza ajira hata kama tutawafundisha somo la Entrepreneurship lakini hawa wa veta wengi wanaweza kujiajiri na kuajiri wenzao na hata baadaye wataweza kuwaajiri hawa mameneja,:tape: