bernard nsolo
New Member
- Apr 13, 2011
- 2
- 0
nina wasiwasi na jinsi tunavyosisitiza watanzania wote kufikia elimu ya chuo kikuu(wasimamizi) na tukasahau kuwa tunahitaji pia watu wa elimu ya kati ambao hasa ni watenda kazi (mafundi mchundo). kwanini tunafikiria tu kuwa na high schools nyingi na siyo vocational training nyingi. sijui kama mawazo yangu ni sahihi naona kama tunatengeneza mameneja wengi lakini watenda kazi wachache sana. sidhani kwamba mtendakazi mmoja anasimamiwa na mameneja(supervisors) ishirini.:mmph: