Elimu tuliyopata mashuleni imeshindwa kutusaidia kutatua changamoto zetu. Mfumo wetu wa elimu umetufanya tuwe ndio mzee Kwa Kila kitu. Na kutokana elimu hii tumeshindwa kujitetea hata pale tunapo ona tunaonewa na watawala.
Jaribu kutazama mambo yanavyokwenda katika nnchi yetu serekali inafanya mambo ambayo kiuhalisia yanaumiza wanainchi, na mwananchi anafahamu fika hatendewi haki lakini kutokana na elimu mbovu aliyonayo anashindwa kifanya CHOCHOTE.
Suala la chanjo ya UVIKO 19 Ni jambo lililowagawa watanzania Kwa kiasi kikubwa na hii Ni kutokana na matamko mbalimbali ya viongozi, serekali ya magufuli inasema chanjo haifai !! , Inakuja serekali ya Samia inasema chanjo inafaa. Kwa Nini mnatuchanganya?
Halafu kinachoumiza zaidi Ni watu wale wale waliosema chanjo haifai ndio wanasema Tena chanjo inafaa!!!. Haya yote wanafanya kwakuwa wanajua mfumo wa elimu uliotuandaa umetufunza kuwa ndio mzee.
Tazama tozo mpya za miamala nilitegemea watanzania kupaza sauti na kupinga tozo hizo zinazoumiza ila walipiga kelele wachache na wengi walikuwa kimya kana kwamba hakuna kinachoendelea. Watanzania tuna tabia moja mbaya Sana ya Yani kupambania maslahi ya wengi sio jadi yetu .kazi yetu Nikukubali Kila kitu hata kikiwa kibaya.
Huduma za afya Bado Ni mbaya hakuna wa kuhoji, barabara Ni mbovu, nenda singida Huduma ya maji Bado Ni tatizo kubwa.kila Kona Kuna tatizo ila watu wako busy na habari ya haji manara.
Nadhani wakati Ni huu, Ni sahihi kufanya mabadiliko Kwa Sasa kupeana elimu Kama hivi Hadi watu wote wafunguke na tuweze kusimamaia haki zetu na haki za wengine.

Upvote
0