Mfumo wa Elimu TZ unaandaa Manamba (slaves)

and 300

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2012
Posts
26,398
Reaction score
36,406
Kuanzia miundombinu (madarasa , maktaba, maabr) walimu (maslahi, sifa za kujiunga) na Content (curriculum) ni Tia maji Tia maji. Tusitegemee maajabu.
 
Kuanzia miundombinu (madarasa , maktaba, maabr) walimu (maslahi, sifa za kujiunga) na Content (curriculum) ni Tia maji Tia maji. Tusitegemee maajabu.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Kweli kabisa

Foolish education system in a foolish country
 
Mzungu amendaa mfumo wa kuwaiingiza watu kwenye mfumo wa utumwa kupitia elimu fake inayotolewa Afrika.

Haishangazi kuona wasomi ndiyo hulalamikia ukosefu wa ajira.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…