Mfumo wa elimu uendane na tanzania ya viwanda.

Mfumo wa elimu uendane na tanzania ya viwanda.

Eddy Rehan

New Member
Joined
Feb 10, 2017
Posts
4
Reaction score
8
Biashara ni ajenda ya Duniani sasa, Viwanda ni kujenga uchumi wa kujitegemea, hivi ni kuvifikia ikiwa Taifa halifundishi jinsi ya kupata mahitaji ya kwa kujitegemea.

Ikiwa shule zitafundisha jinsi ya kupata mahitaji kwa kujitegemea, hapo tutawatengeneza wanafunzi kuanza kuwa wabunifu na fani.

Kubadiri mfumo wa elimu inaweza kulichukua taifa miaka 30 lakini bado ni bora kufanya hivyo kuliko kusubiri ajira kutoka kwa wawekezaji ambao sio salama kiuchumi na kisiasa.
 
Back
Top Bottom