Just Distinctions
JF-Expert Member
- May 5, 2016
- 3,230
- 6,742
Habari zenu wakuu,
Kama tunavyojua Kenya imekuwa ikitoa wahitimu wazuri wenye kuleta ushindani katika soko la ajira ndani na nje ya mipaka ya Afrika Mashariki na hivi karibuni nimepata taarifa kuwa wamebadili mfumo wa elimu na kuwa competence based.
Kwa anayeuelewa huu mfumo wa elimu atudadavulie kiundani jinsi ulivyo, na je nchi zingine za Afrika Mashariki zinatumia mfumo gani?
Na je huu sio wakati muafaka wa kubadili mifumo yetu ya elimu kuendana na wakati uliopo?