Victor Mlaki
JF-Expert Member
- May 1, 2016
- 5,628
- 6,411
- Thread starter
-
- #21
Mkuu naelewa nilichokiandika kuliko unavyofikiri. Sijakurupuka kuandikaDemographic dividend vs Population SI kitu kimoja ndugu. Tulia kwanza naona umeshaanza kupanik.
Huna hoja Bali kirojaMkuu naelewa nilichokiandika kuliko unavyofikiri. Sijakurupuka kuandika
Jenga hoja yako vizuri ili kuonesha udhaifu wa niliyoyaonesha.
Huwa sipaniki kwa mambo madogo kama haya halafu huko kwenye demographic ni viwanja wa nyumbani.
Demographic dividend vs Population SI kitu kimoja ndugu. Tulia kwanza naona umeshaanza
Unashangaza sana wewe jamaa demographic dividend unayoisemasema hapa ni kukua kwa uchumi wa nchi kunakotokana na kubadilika kwa muundo umri wa watu wake.Huna hoja Bali kiroja
sasa mkuu kwani US, alipata uhuru mwaka gani? unataka ujilinganishe na US ambaye alikuwa observer kwenye mkutano wa kugawa bara la AfrikaUSA ina raia zaidi ya 200M+ na sisi tuna 60M mbona wametuzidi sana ...kama unaangalia kigezo cha idadi ya watu kufanya nchi yao kua bora?
Zanzibar wapo kama 2m. Lakini kwenye elimu wana hali mbaya.Sasa nchi ya watu 5.5m unalinganishaje na nchi yenye watu takribani 58m? Wasomi wetu sometimes mnajidhalilisha.
Good enough wana sera yao ya elimuZanzibar wapo kama 2m. Lakini kwenye elimu wana hali mbaya.