Mfumo wa elimu

Mfumo wa elimu

Lolchala

Member
Joined
Feb 9, 2013
Posts
14
Reaction score
0
Hapo mwanzo haukuwepo na mabadiliko ya mitaala za kila wakati kama hivisasa-kila Kiongozi anayeingia kuongoza huja na Ya Kwake,mpaka wanafunzi wanachanganyikiwa-Unashindwa kitabu Gani cha Hesabu hutumika Shule za Msingi na Sekondari.
-Pili Shule hizi za kata zingekuw na Maendeleo na Matokeo mazuri kama watoto wa Wabunge,Mawaziri na Raisi wasoma Huko nao-Bahati mbaya zimeanzishwa kama shule za walala Hoi/Maskini-MFUMO MZURI ni ya Wote kuonekana kwenye Mfumo huo kwa Usaw na wote Tuone Uchungu uliopo kwenye KAPU.
 
Back
Top Bottom