jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 22,569
- 43,614
Mkuu ukitaka ufate utalatibu aisee utasota sana. Soma tena sentence hiyoTangu kuletwa kwa mfumo huu umekua kikwazo na kero zaidi kwa watumishi kuomba uhamisho.
Mfumo huu umetumiwa kuminya haki ya uhamisho kwa watumishi waumma.
Mbaya zaidi mfumo hautambui changamoto za watumishi katika kuomba uhamisho mfano,ugonjwa,mazingira hatarishi au ndoa.
Hali hii inapelekea watumishi wanaoomba uhamisho kukata tamaa na kukosa hama sa ya utendaji kazi.
OMBI:mfumo utambue mahitaji na changamoto hizo za watumishi wanao omba uhamisho.