peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 18,223
- 31,465
Kwa nini usimuize Greyson Msigwa?
Lengo ni kumchafua mama au? Mbona uko poa tu?Kwa yanayoendelea Tanzania, ninahisi kuna hujuma inafanyika Ili kuisababishia Serikali hasara na Wizi uendelee.
Mwenye uelewa kuhusu Mfumo wa GePG Tanzania kama unafanya kazi na kama unapatikana tafadhali
Mfumo wa ovyo, yaan hata kulipa bill za serikali pia mtu unakatwa tozo hii nchi wabunge na wanasiasa wote walaaniweKwa yanayoendelea Tanzania, ninahisi kuna hujuma inafanyika Ili kuisababishia Serikali hasara na Wizi uendelee.
Mwenye uelewa kuhusu Mfumo wa GePG Tanzania kama unafanya kazi na kama unapatikana tafadhali
Uko Tz au Kenya kwa wakola? Haya bwana.Kwa yanayoendelea Tanzania, ninahisi kuna hujuma inafanyika Ili kuisababishia Serikali hasara na Wizi uendelee.
Mwenye uelewa kuhusu Mfumo wa GePG Tanzania kama unafanya kazi na kama unapatikana tafadhali
Msigwa kaingia chimbo kabwaga manyanga kutetea majambaziKwa nini usimuize Greyson Msigwa?
tatizo hiya Gepg imewanyima watu wengi ulaji sana sisi ngozi nyeusi ni shida kama mfumo kama huo unahujimiwa halafu kuna raisi waziri wa fedha je kuna nchi tena hapoKwa yanayoendelea Tanzania, ninahisi kuna hujuma inafanyika Ili kuisababishia Serikali hasara na Wizi uendelee.
Mwenye uelewa kuhusu Mfumo wa GePG Tanzania kama unafanya kazi na kama unapatikana tafadhali
Haa labda hawatak kodi ya yako mkuu wew ndo unajipendekeza kwao uanwekewe tuzo kama kizingiti na badol unalipa jamaniMfumo wa ovyo, yaan hata kulipa bill za serikali pia mtu unakatwa tozo hii nchi wabunge na wanasiasa wote walaaniwe
Ulikuwa unataka kulipa nini ukashindwa?Kwa yanayoendelea Tanzania, ninahisi kuna hujuma inafanyika Ili kuisababishia Serikali hasara na Wizi uendelee.
Mwenye uelewa kuhusu Mfumo wa GePG Tanzania kama unafanya kazi na kama unapatikana tafadhali