Elimu ya Tanzania mmh haya.....
salaam aleykum!!
vyuo vingi hutumia utaratibu huu kutoa nafasi ya effort ya mwanafunzi katika continuous assessment (CA) kujidhihirisha katika matokeo yake ya kumpatia cheti. mtihani wa mwisho sio jibu pekee la kuonyesha umahili wa mwanafunzi ambayo ni system tuliyoirithi kwa waingereza.
tatizo linakuja kwenye mbinu na authenticity ya namna continous assessment inapatikana kutoka shule kadhaa ambazo zimezagaa na zina circumstances tofauti. hata kuna vyuo ambavyo baadhi ya walimu walitumia CA kuwapa ufaulu mzuri baadhi ya wanafunzi wa aina yao ili wabakie kama tutorial assistants (TAs)
wana CA..??Baraza la mitihani la Tanzania NECTA linatarajia kuanza kutumia mfumo mpya wa upangaji matokeo ya mitihani ya mwisho yaani FE kuanzia mitihani itakayofanyika NOVEMBER,2014 na kidato cha sita MAY,2015.
Kwa mujibu wa kaimu katibu mtendaji wa BMT CA itachangia alama 30 na FE alama 70.Source barua ya tarehe 3.3.2014 iliyotumwa shuleni kwangu
Baraza la mitihani la Tanzania NECTA linatarajia kuanza kutumia mfumo mpya wa upangaji matokeo ya mitihani ya mwisho yaani FE kuanzia mitihani itakayofanyika NOVEMBER,2014 na kidato cha sita MAY,2015.
Kwa mujibu wa kaimu katibu mtendaji wa BMT CA itachangia alama 30 na FE alama 70.Source barua ya tarehe 3.3.2014 iliyotumwa shuleni kwangu
Wakuu hii thread imenichanganya sitaki kuamini kuwa hii wizara ya Elimu na Baraza la Mitihani wamekuwa ni sikio la kufa kiasi hicho waweze kuthubutu kutumia mfumo mpya wa upangaji wa matokeo wakati wanafunzi wenyewe wameshamaliza mitihani ya Kidato cha Sita kwa wale wanaochukua masomo ya arts. Mwezi Novemba walitangaza madaraja mapya sasa kabla hata ya kuyatumia iweje waje na mfumo wa GPA wakati wanatangaza hayo ya Novemba walisema yalipangwa kwa kuzingatia maoni ya wadau ambapo utafiti ulifanyika kwa kutumia madodoso? Sasa je kuna utafiti gani mwingine umefanyika. Wizara ya elimu na NECTA waache kabisa kufanya usanii kwenye upangaji wa madaraja wanafanya kiini macho kubadili mara kwa mara ili watudanganye kuwa elimu imepanda. Ama kweli hii BRN inaimaliza kabisa elimu yetu ambayo kwa sasa iko ICU!!!!!
Soma vizuri ni Form Six wa 2015 na Form Four watakao fanya mtihani mwaka huu November.
kwa private candidates itakuwaje kuhusu ca?
Tutashukuru sana ukituwekea hizo taarifa kwa undani. Yaani kama NECTA wameweka paper ya pili kwa pc eti iwe ni GPA basi hapo inaonesha kuwa uwezo wao wa kufikiri ni mdogo sana. Tangu lini mtihani wa taifa ukawa ndiyo ca?ni kwamba kwa kuwa kumekuwepo na malalamiko mengi khsu ca kwa pc necta pia imetoa mwongozo kuwa watahiniwa wa kujitegemea yaan pc watafanya paper mbili ile ya school cand.ambayo itatumika km ca na ile ya kwake itakayotumika km final exam(fe) REJEA RATIBA YA NECTA F.4 MWAKA 2014
GPA HIZO NITAZIWEKA WAZ KESHO MUNGU AKIPENDA!
Maelezo mazuri sana. Asante. Tatizo langu siku zote ni kushindwa kuelewa ni kwa nini Wizara, na BMT, kuleta mabadiliko mazito kama haya kwa kushitukiza. To me, it amounts to changing goal posts between the Match na double standards za hali ya juu! Kwa nini Tangazo hili lisitolewe leo kwa ajili ya Graduants wa Mwaka 2017 ili wote wajiandae? Tunaongelea Wanafunzi walioko Kidato cha Nne ambao, kwa Shule zilizo seriious kama Seminaries, wamekwisha kamilisha Syllabus na sasa hivi wako kwenye final touches. Tabia hii ya kuleta mabadiliko ya ghafla inakatisha tamaa kabisa kwenye suala la Elimu kwenye Nchi hii!:frusty:
Mkuu kweli hapa ni kupelekana tu yaani Kidato cha sita 2014 watatumia mfumo mpya halafu 2015 mfumo mwingine tofauti kama ilivyooneshwa kwenye mwongozo wa NECTA NECTA imetoa mwongozo wa matumizi ya viwango vya Ufaulu (Aprili 2014) ambao umesambwazwa katika shule zote ze sekondari kupitia kwa Maafisa Elimu wa Mikoa. Kwa mujibu wa mwongozo huo Madaraja ya ufaulu kwa Kidato cha Sita 2014 yatapangwa kwa kutumia mfumo uliooneshwa kwenye ukurasa wa 8 wa mwongozo huo ambao ni:Tz bwana, kila wakiamka wanakuja na kitu kingine. Haya bwana, tupelekeni tu mnavyotaka!!!!!!
Sent from my iPhone using JamiiForums app