Mfumo wa gpa kutumika kuchakata matokeo ya kidato cha nne 2014 na kidato cha sita 2015

Mfumo wa gpa kutumika kuchakata matokeo ya kidato cha nne 2014 na kidato cha sita 2015

Tatizo sio mfumo wa utoaji matokeo,shida ni serikali kuwatelekeza walimu na mishahara kidogo na mfumo mbovu wa wa elimu ikiwa nipamoja na ukaguzi!!
 
sasa hii nakuwa ilimu badala ya elimu. (just joking)
 
Mmh jaman! Hili ndo baraza letu wabongo leo kinatangazwa hiki kexo hiki why xo? Kama kazi za kujadili zimeisha basi hata mjadala kuhusu walim unafaa 2.
 
Ni mfumo mzuri lkn imekywa haraka mno, lingekuwa jambo la busara kama mfumo huu ungeandaliwa kwa mwanafunzi ambae yupo kidato cha kwanza akae akijua baada ya miaka mitatu atakutana na kitu cha namna gani.
 
Mimi naona wana JF wengi wanaochangia humu siyo wadau wa Elimu! Nasema hivyo kwa sababu mabadiliko haya yalishatangazwa zaidi ya miaka miwili iliyopita sasa, na Wakuu wa shule zote walishapewa barua na vijitabu vya kuonesha mwongozo wa kutunuku kuanzia mtihani wa O-level 2014 na kuendelea kwa zaidi ya mwaka mmoja na nusu sasa! Hata kwenye tovuti ya NECTA mwongozo huo upo! Tembelea www.necta.go.tz kwa wanaoomba ufafanuzi zaidi kuhusu utaratibu wa kutunuku.
 
Baraza la mitihani la Tanzania NECTA linatarajia kuanza kutumia mfumo mpya wa upangaji matokeo ya mitihani ya mwisho yaani FE kuanzia mitihani itakayofanyika NOVEMBER,2014 na kidato cha sita MAY,2015.
Kwa mujibu wa kaimu katibu mtendaji wa BMT CA itachangia alama 30 na FE alama 70.Source barua ya tarehe 3.3.2014 iliyotumwa shuleni kwangu

BRN>>GPA
Mi napita jamani mtazamo tu msijenge .........ki
 
Back
Top Bottom