Mfumo wa kijasusi wa kuficha watu upo? Unafanyaje kazi?

Mfumo wa kijasusi wa kuficha watu upo? Unafanyaje kazi?

Jembemtaji

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2014
Posts
1,193
Reaction score
926
Katika taratibu za kazi za kijasusi, hivi ni kweli kwamba mnaweza kutangaziwa mtu amekufa wakati bado anaishi sehemu nyingine?.

Mara nyingi watu wamekua wakidai balali yuko hai na anaendalea na maisha yake.

Lengo sio kujua balali alipo, ninachotaka kujua ni kwamba mfumo huu wa ujasusi upo na unaendelea kufanya kazi kwa usahihi duniani.

Mwenye ufahamu na mambo haya atuweke vizuri katika hili.
 
Ni kwa nin watumie gharam zote za kuwaficha hawa watu!?..kwa nni wasiwaue tu?..ya nini ku take risk kwa kuwaach hai?..Coz katika tasnia ya ujasusi siku zote wanaamin only a dead man can not talk..
why do they bother to keep them alive?
 
Yawezekana kuna mchango flani wanao kwenye jamii husika ndo mana hawawaui.....
 
Wadau natafuta ule uzi uliokuwa unazungumzia kifo cha dalali+kaburi lake kule state kwa obama
 
Back
Top Bottom