Jembemtaji
JF-Expert Member
- Aug 21, 2014
- 1,193
- 926
- Thread starter
- #21
2pac!...
2pac na yeye amefichwa mkuu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
2pac!...
Yawezekana kuna mchango flani wanao kwenye jamii husika ndo mana hawawaui.....
Aiseeee kama ndio Ivo basi utawala ni mgumu bora niuze genge tu.
Amna wala sio mgumu hisia zako tu! Wanachofanya watala kamawtaawala hawatakiwi kupeleka mambo kwa hisia, mfano balali kukumbwa na kashfa lazima iangaliwe mchango wako kwa serikalii na je hasara gani zitatokea iwapo atatoweshwa/uwawa. then ndipo yanatoka maamuzi!
Upo hadi apo??
Nadhani mfano mwingine ni
1. Hitler
2. Osama
katika taratibu za kazi za kijasusi, hivi ni kweli kwamba mnaweza kutangaziwa mtu amekufa wakati bado anaishi sehemu nyingine?.
Mara nyingi watu wamekua wakidai balali yuko hai na anaendalea na maisha yake.
Lengo sio kujua balali alipo, ninachotaka kujua ni kwamba mfumo huu wa ujasusi upo na unaendelea kufanya kazi kwa usahihi duniani.
Mwenye ufahamu na mambo haya atuweke vizuri katika hili.
Hutakiwi kujua zaidi ya unavyopaswa kujua mkuu.........BE CAREFUL!
Ni kwa nin watumie gharam zote za kuwaficha hawa watu!?..kwa nni wasiwaue tu?..ya nini ku take risk kwa kuwaach hai?..Coz katika tasnia ya ujasusi siku zote wanaamin only a dead man can not talk..
why do they bother to keep them alive?
Haya mambo yapo sana, wakati mwingine hata watu waliohukumiwa kifo huuawa kwa namna nyingi kulinda mapungufu ya vyombo vya ulinzi. Mfano inaposemekana "jambazi fulani limeuawa likijizana risasi na polisi" wakati mwingine sio kweli wanaenda magerezani kuwachukua wale wenye hukumu za vifo au vifungo vya maisha, wanauawa kisha inasemekana alikua ajibizana risasi na polisi. Hii ni kwa sababu ya kupunguza aibu ya jeshi la polisi kukosa ufanisi kwa baadhi ya matukio
BIG NOOOO, wahalifu au majambazi sugu huuwawa na kuwekwa eneo la wazi na watu huruhusiwa kuwatambua ndiomaana wengine huwaelezea walivyowajua au walivyotendwa nao.Haya mambo yapo sana, wakati mwingine hata watu waliohukumiwa kifo huuawa kwa namna nyingi kulinda mapungufu ya vyombo vya ulinzi. Mfano inaposemekana "jambazi fulani limeuawa likijizana risasi na polisi" wakati mwingine sio kweli wanaenda magerezani kuwachukua wale wenye hukumu za vifo au vifungo vya maisha, wanauawa kisha inasemekana alikua ajibizana risasi na polisi. Hii ni kwa sababu ya kupunguza aibu ya jeshi la polisi kukosa ufanisi kwa baadhi ya matukio