Mfumo wa kiwango cha malipo alicho tumia Babu wa Loliondo.

CHASHA FARMING

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2011
Posts
7,872
Reaction score
9,263
Babu wa Loliondo kwangu atabakia kama mtu alie kuwa na akili ya kipekee kabisa. Babu alikaa akawaza sana akaona asije kufa masikini.

Babu hakutaka afe masikini kama wengine akaonelea aje na Idea yake ya kipekee.

Babi akabuni kikombe cha kuponyesha kila aina ya Ugonjwa.

MFUMI WAKE.SASA

Babu aliua kulipisha sh 500/ pekee kwa kila mteja.

UNAZANI KWA NINI ALIFANYA HIVYO?

1. Babu alichagua sh 500 ili kila mtu aone urahisi wa kutoa na mtu awe Tajiri awe masikini anatoa bila kunung'unika. Huu mfumo unatumiwa pia Na.Peps na cocacola.

Sh 500/ ilikuwa hamiumi mtu kuitoa tofauti na angesema laki 1 au elfu 50.

2. Babu alichagua pesa ambayo endapo litatokea la kutokea basi mtu hatadai fidia make ni pesa ndogo sana.

Ni kweli watu walipiga kikombe na hawakupona na hakuna alie dai fidia make gharama za kudai 500 zingekuwa kubwa kuliko fidia yenyewe.

BABU kwa sasa ni Tajiri na hawezi kufa masikini na mimi kwangu anabakia kjwa mtu alie tumia akili ya kipekee make kwanza kuamua kulipisha sh 500/ watu walisafiri kutoka Mbeya jwa mamilioni na wakaja kulipishwa sh 500/

Mfumo wa Babu ni the same na wa cocacola au peps kwa 100%



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli mKUU! Alichagua aina ya pesa anayotaka!
 
Jamani babu alianza kutibu ktambo, nikiwa arusha nikakutana na mama alinieleza yy alienda kule loliondo 2009 akiwa anaumwa sukari kiasi alikua haongei wala kula, bt baada ya kikombe sauti ikatoka na misosi ikawa inapanda. Mwingine alikua mtumishi wa umma, mwanae alikua anadondoka shule hta siku3 bila kuamka bt baada ya kikombe alipona nw yupo college.
Cyo kweli kua wote hawakupona

Sent from my TECNO L8 Lite using JamiiForums mobile app
 
Umelewa post yangu? sizungumzii kupona au kuto kupona nazungumzia malipo. Nazani sasa umeelewa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Babu aliangalia fursa kwa wakati ule na akaitumia inavyostahiki , Hata akifa leo watoto wake watakuwa na urithi mzuri tu wa mali alizoacha .

Yaani gharama za kuingia tu lodge kwa kule uswahilini ni zaidi ya elfu 15 leo umepata ngoma unataka upate tiba ya shilingi 500.

Wanasemaga wajinga ndio waliwao.

Mzee Lyatonga mpaka leo simuelewi na maradhi yake kila akiambiwa atoe ushuhuda kama alipona anakwepa.
 
unajua mtu ile 500 inaweza isimuume lakini ile hela ya matumizi ya kawaida ndo itauma maana kuna watu walisafiri siku mbili njiani ndo wanafika alafu unakaa kwenye foleni wiki tatu adi nne pesa iliotumiaka apo ni balaa unajikuta umetoa ata laki tatu
 
Alisaidia hata Samunge wakapata miundo mbinu muhimu kama barabara, minara ya simu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…