Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakuunga mkono℅Babu wa Loliondo kwangu atabakia kama mtu alie kuwa na akili ya kipekee kabisa. Babu alikaa akawaza sana akaona asije kufa masikini.
Babu hakutaka afe masikini kama wengine akaonelea aje na Idea yake ya kipekee.
Babi akabuni kikombe cha kuponyesha kila aina ya Ugonjwa.
MFUMI WAKE.SASA
Babu aliua kulipisha sh 500/ pekee kwa kila mteja.
UNAZANI KWA NINI ALIFANYA HIVYO?
1. Babu alichagua sh 500 ili kila mtu aone urahisi wa kutoa na mtu awe Tajiri awe masikini anatoa bila kunung'unika. Huu mfumo unatumiwa pia Na.Peps na cocacola.
Sh 500/ ilikuwa hamiumi mtu kuitoa tofauti na angesema laki 1 au elfu 50.
2. Babu alichagua pesa ambayo endapo litatokea la kutokea basi mtu hatadai fidia make ni pesa ndogo sana.
Ni kweli watu walipiga kikombe na hawakupona na hakuna alie dai fidia make gharama za kudai 500 zingekuwa kubwa kuliko fidia yenyewe.
BABU kwa sasa ni Tajiri na hawezi kufa masikini na mimi kwangu anabakia kjwa mtu alie tumia akili ya kipekee make kwanza kuamua kulipisha sh 500/ watu walisafiri kutoka Mbeya jwa mamilioni na wakaja kulipishwa sh 500/
Mfumo wa Babu ni the same na wa cocacola au peps kwa 100%
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama unaongea kweli sasa hivi yuko wapi?Jamani babu alianza kutibu ktambo, nikiwa arusha nikakutana na mama alinieleza yy alienda kule loliondo 2009 akiwa anaumwa sukari kiasi alikua haongei wala kula, bt baada ya kikombe sauti ikatoka na misosi ikawa inapanda. Mwingine alikua mtumishi wa umma, mwanae alikua anadondoka shule hta siku3 bila kuamka bt baada ya kikombe alipona nw yupo college.
Cyo kweli kua wote hawakupona
Sent from my TECNO L8 Lite using JamiiForums mobile app
Mkuu Mimi binafsi nimekuelewa sanaWatu mnakuwa wagumu sana Kuelewa humu ni reflection ya Watu wakiwa Shuleni.
Nazungumzia Malipo, nazungumzia mfumi wa malipo sizungumzii Transport cost.
Nazungumzia gharama ya Huduma.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli kabisa huyo jamaa sijui mwalimu wake alikuwa anatumia mbinu gani kumuelewesha .duuuh kichwa kigumu utadhani niniMada ni kubwa inakuzidi uwezo mkuu hutakaa uelewe na manisha nini, tunaweza kesha.
Sory
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo tapeli utajuwa wewe ulietapeliwa sisi tunazungumzia techniques iliyotumika ilikuwa Kali sana.Ila alikuwa tapeli.
Sent by The CIA