Babu wa Loliondo kwangu atabakia kama mtu alie kuwa na akili ya kipekee kabisa. Babu alikaa akawaza sana akaona asije kufa masikini.
Babu hakutaka afe masikini kama wengine akaonelea aje na Idea yake ya kipekee.
Babi akabuni kikombe cha kuponyesha kila aina ya Ugonjwa.
MFUMI WAKE.SASA
Babu aliua kulipisha sh 500/ pekee kwa kila mteja.
UNAZANI KWA NINI ALIFANYA HIVYO?
1. Babu alichagua sh 500 ili kila mtu aone urahisi wa kutoa na mtu awe Tajiri awe masikini anatoa bila kunung'unika. Huu mfumo unatumiwa pia Na.Peps na cocacola.
Sh 500/ ilikuwa hamiumi mtu kuitoa tofauti na angesema laki 1 au elfu 50.
2. Babu alichagua pesa ambayo endapo litatokea la kutokea basi mtu hatadai fidia make ni pesa ndogo sana.
Ni kweli watu walipiga kikombe na hawakupona na hakuna alie dai fidia make gharama za kudai 500 zingekuwa kubwa kuliko fidia yenyewe.
BABU kwa sasa ni Tajiri na hawezi kufa masikini na mimi kwangu anabakia kjwa mtu alie tumia akili ya kipekee make kwanza kuamua kulipisha sh 500/ watu walisafiri kutoka Mbeya jwa mamilioni na wakaja kulipishwa sh 500/
Mfumo wa Babu ni the same na wa cocacola au peps kwa 100%
Sent using
Jamii Forums mobile app