MFUMO WA KUCHAKATA MATOKEO AUTOMATICALLY

MFUMO WA KUCHAKATA MATOKEO AUTOMATICALLY

RAINEL LIHAWA

Member
Joined
Apr 14, 2015
Posts
34
Reaction score
31
MWALIMU NA MIFUMO

WAKONGWE WA MIFUMO MASHULENI
Tangazo Hili Unakutana NALO mara moja tuu Kwa Kwa Kila robo ya Mwaka.

WIKI YA KUANDAA MATOKEO NDIO HII TERMINAL MAY-JUNE 2024

Mifumo ya matokeo Kwa level zote
[emoji3534]Primary,
[emoji3534]O level na
[emoji3534]A level.
Joint/Mock system zipo pia Kuanzia shule 2 Hadi Shule 400.

Achana na mifumo isiokidhi mahitaji yenu. Ambayo ni complex.

MFUMO WETU WA MATOKEO NI THREE IN ONE

[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]

WAKATI WENGINE WANAUZA MFUMO AMBAO NI ONE IN ONE

KWANINI UWE NA MFUMO WETU BORA?

NA UACHANE NA MIFUMO ISIYO KIDHI HAJA.

MFUMO UNAVITU VIFUATAVYO AMBAVYO NI ADVANCED HUWEZI VIPATA KWENYE MIFUMO YA WATU WENGINE.

[emoji3591]SEHEMU YA KUJAZA MAJARIBIO

Mara baada ya kujaza MAJARIBIO basi mfumo MOJAKWAMOJA utachakata matokeo ya majaribio tuu.

1. Ambapo utapata matokeo ya jumla.

2. Summary za ufaulu kwa kila somo kwa GPA na kuonyesha somo la kwanza mpaka la mwisho.

3. Report ya kila mtoto kwaajili ya kuituma kwa mzazi.

4. Wanafunzi 10 bora kwa ujumla pia wanafunzi wa mwisho kiujumla.

5. Wanafunzi kumi bora kwa kila somo.

Na pia utaweza kutuma sms za matokeo kwa mzazi kwa matokeo haya haya ya majaribio TU.

TOFAUTI YAKE.
Mfumo huu hausubili eti ujaze kwanza mitihani ndipo upate hizo summary na report.

[emoji3591]SEHEMU YA KUJAZA MITIHANI.

Mara baada ya kwenda kujaza sehemu ya mitihani basi mfumo pia utachakata matokeo ya mitihani na kukupatia tena kila summary na report ya mitihani bila kuingiliana na majaribio

Maana yake utapata vitu vifuatavyo.

1. Matokeo ya jumla kwa mitihani

2. Summary za ufaulu kwa DIVISION na GPA kwa wanafunzi pia kwa kila somo na kupanga somo la kwanza mpaka la mwisho kwa GPA.

3. Wanafunzi kumi bora na kumi wa mwisho kiujumla

4. Wanafunzi kumi bora kwa kila somo.

5. Report ya kila mwanafunzi kwaajili ya kupeleka kwa mzazi.

Pia utaweza kutuma sms ya matokeo kwa mzazi kwa matokeo haya ya mitihani pekee.

[emoji3591]SEHEMU YA MAJARIBIO + MITIHANI.

Sehemu hii wewe haujazi chochote.

Kila kitu kinajijaza automatically.

Hapa ni baada ya wewe kujaza matokeo ya majaribio na matokeo ya mitihani basi hii sehemu utaikuta imeshajijaza automatically na kukupatia kila aina ya summary kama vile.

1. Matokeo ya jumla
2. Summary kwa Division na GPA.

3. Report ya kila mtoto
4. Wanafunzi kumi bora kiujumla
5. Wanafunzi kumi wa mwisho
6. Wanafunzi kumi bora kwa kila somo.

Karibuni sana uungane na shule zinazotumia mfumo huuu wa matokeo.

Mawasiliano yangu ni

0753538043
0739538043

Gharama zake na Ufafanuzi wake.
#Primary School 30,000
#Secondary O level 30,000
#Secondary A level 30,000

#Joint kuanzia shule mbili mpaka 400+ gharama yake Inategemeana na idadi ya shule shiriki

Unakuwa complete unafanya Kila kitu.

Matokeo yote,
Parents report automatically
Tuma matokeo Kwa sms

Unlimited namba of student

No expire date

Malipo malamoja tuu
Kisha utautumia siku zote

Selve namba yangu Kama sio Leo basi utalipia siku nyingine
0753538043
IMG-20240424-WA0023(2).jpg
 
Kila la heri, kazi ni kipimo cha utu
 
0753538043View attachment 2988796
Safii nimeipenda sana
 
Mkuu HAPO Bado sijaona kama mfumo wako una tija sana Kwa matumizi ya IT Kwa sasa Kwa kuwa mfumo wako unatoa report na matokeo ambavyo vyote hivyo shule nyingi zina template za kufanya hayo.
Sasa nakushauri nenda extra mile kwenye kuchakata matokeo ya wanafunzi, mfano

Mfumo uweze kumluhusu mwalimu kuingiza marks za Kila swali Kwa Kila somo na Kwa Kila mwanafunzi.
Mfumo uweze kutoa summary ya Kila swali wanafunzi wangapi wamelipata na wangapi wamelikosa Kwa Kila somo.

Mengine utajiongeza mwenyewe Kwa kufanya tafiti shuleni na kuona wapi changamoto ipo ili kufanya tathmini ya kina ya ufauli wa wanafunzi.
Hii itamsaidia mwalimu kujua swali lipi wanafunzi wamefeli sana na lipi wamefaulu sana na lipo mada ipi ili kuona namna ya kukazia maarifa kwenye mada hiyo.
 
Back
Top Bottom