Tumia SMART MAUZO APP ni nzuri sana. Inaonyesha mauzo yako ya siku, faida yako uliyoipata(daily profit) , inaonyesha stock uliyonayo of which ni ngumu mtu kukuibia maana bidhaa zinauzwa kwa system. Ina weka rekodi nzuri sana za biashara.
Ila malipo yake ni efu 10 kwa mwwzi kwa standard version. Inatoa invoice, bill yaan kila kitu, inarekodi manunuzi, madeni ya wateja unawadai and so forth.
Pia rekod za biashara yako unaziona sehemu yoyote as long as una simu au laptop yenye internet.