Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Je huu mfumo wa TRA kwa nini hawajaintegrate na mfumo wa NIDA ili kupunguza kupata data ambazo ni tatizo huko mbeleni. Je kwa nini wasingetumia mfumo wa TUME YA AJIRA AMBAO TAYARI UPO.....
Kama TAIFA TUNARUDI NYUMA.
Yan… ni changamoto wamesema mtu uweke picha pia hamna sehemu ya ku upload picha wala birth certificate
Naona mfumo bado hauko sawa
NIDA inakuzuia nini kuomba kazi mzee?Je huu mfumo wa TRA kwa nini hawajaintegrate na mfumo wa NIDA ili kupunguza kupata data ambazo ni tatizo huko mbeleni. Je kwa nini wasingetumia mfumo wa TUME YA AJIRA AMBAO TAYARI UPO.....
Kama TAIFA TUNARUDI NYUMA.