tzhosts
JF-Expert Member
- Nov 5, 2016
- 403
- 510
Habari za wakati huu;
Je wewe ni mmiliki wa biashara?kati ya hizi zifuatazo?Duka la Spear za Magari,Duka la Dawa,Duka la bidhaa anuai,Bar,Restaurant na Pub.Je biashara yako ina tawi zaidi ya moja?Je unahitaji mfumo wa kukuwezesha kutunza kumbukumbu za biashara yako na kukuwezesha kufuatilia mwenenendo wa biashara yako wakati wowote?
Kuna mifumo ya aina tofuati ambayo tunaweza kukupatia ambayo itakuwezesha kusimamia biashara yako kwa utaalam.SIFA ya mifumo yetu ni kwamba ni OPEN SOURCE system ambazo tunaweza kuzifanyia customization ili ziweze kutumika katika biashara yako.
Nini maana ya mfumo wa OPEN source?Mfumo wa Open source ni aina ya mfumo ambao watengenezaji wameauachilia uweze kutumika nakufanyiwa marekebisho BURE.Mtumiaji anaweza kuufanyia mfumo maboresho ili uweze kufaa katika mazingira yake kwa kuzingatia mahitaji yake bila kumlipa mtengenezaji wa mwanzo.Faida za mifumo hii ni kwamba unaweza kumuajiri mtengenezaji yeyote akufanyie maboresho kwa kadiri ya mahitaji yako.
Sisi tunajishughulisha na utafiti na utengenezaji wa mifumo hii na mpaka sasa tumejikita katika mifumo ya usimamizi wa biashara pamoja na mifumo ya uhasibu.Mifumo yote inakuwa online(Cloud based) na inakuwezesha kufikia biashara yako popote kwa njia ya mtandao.Leo nataka nizungumzie baadhi ya mifumo hio na faida zake.
Mfumo wa Kwanza ni Dolibarr,
Mfumo huu asili yake ni UFARANSA na ULAYA na unatumika sana katika nchi hizo.Mfumo huu una uwezo wa kufanya shughuli mbalimbali ikiwamo kutunza kumbukumbu za stock,kutengeneza invoice,quotes,receipt,kutunza kumbukumbu za benki,mapato,matumizi,usimamizi wa NGO,usimamizi wa uzalishaji kiwandani n.k.
Mfumo huu ni modula na unaweza kufanyia maboresho yoyte kulingana na mahitaji yako na ya biashara yako.
Ili kutumia mfumo huu au mifumo mingine ya open source ambayo tunahusika nayo wasiliana nasi kwa email:info@tzhosts.com nasi tutakupa mwongozo na ushauri sahihi.
Karibu sana. na endelea kufuatilia andiko hili ili kufahamu zaidi.