Saidi malolo
Member
- May 2, 2024
- 17
- 12
Mfumo wa kutambua wasomi wote nchini
Katika miaka ijayo serikali chini ya wizara ajira na kazi itengeneze mfumo maalumu wa kutambua wasomi wa kada zote nchini na kwa hatua zote za elimu .mfumo huo utakao tumiwa na wasomi kuweka taarifa zao za elimu. Hii itamuwezesha muwajiri wowote nchini kupata wafanyakazi hanao wataka kwa sababu anaingia tu kwenye mfumo na anaangalia wafanyakazi hanao wataka na kwenda kwenye majaribio . Mfumo utafanya kazi kwa mtindo huu.
UTAONESHA MATOKEO YA MSOMI HUSIKA
katika mfumo kila msomi baada ya kujisajiri ataweka matokeo yake na uzoefu wake pale iwe raisi kwa mwajiri kufanya maamuzi juu ya watu hanaowataka
KUONESHA WASOMI WA ENEO USIKA
mfumo huu utaonesha wasomi wa kila eneo .sasa mwajiri ataangalia watu walio karibu na mazingira alipo
MFUMO UTAKUWA, NA FAIDA ZIFUATAZO
KUPUNGUZA RUSHWA: Mfumo huu utasaidia kupunguza rushwa katika zoezi la kutafuta wafanyakazi .kwa sababu mfumo ulipo sasa wa kupeleka bahasha unachochea rushwa kwa kiasi chake.
MFUMO UTAOKOA MUDA
Mfumo ukianza kazi utaokoa muda kwa sababu zoezi litafanya kwa haraka kwa sababu mwajiri atachukua watu wengi tu hanao wataka hili hawafanyie majaribio na atimaye kuwaajiri kuliko mfumo wa sasa mwajiri anataka wafanyakazi watano wanaenda waombaji 100 hii inasababisha kupoteza muda mwingi na watu wanao takiwa watano.
UTAPUNGUZA GARAMA KWA WASOMI ZA KUTEMBEA NA BAHASHA
Mfumo kwa vile utaonesha msomi halipo na ufaulu wake utasaidia utasaidia msimo kutotembea na bahasha kila asikiapo kuna nafasi za kazi zimetolewa na kingine ni upotevu wa nauli kutoka sehemu alipo na kufuata kazi eneo la mbali ambapo hapati.
UTASAIDIA KUTAMBUA IDADI YA WASOMI WALIOPO NCHINI
Mfumo utasaidia serikali kujua wasomi waliopo nchini katika kada mbalimbali hii itasaidia kujua ni kada gani inawasomi wachache ndio watu waende kusoma . Au kada gani inawasomi wengi na wasomi wapunguze kiwango cha kusoma.
MWISHO
mfumo unaweza kuwa application na website na hiwe kwa mfumo wa kufungua account ambao kila msomi atafungua account na kuifadhi nywira yake. Kwahiyo ni mfumo muhimu kwa nchi kma utapatikana.

Upvote
0