Wizara ndizo husimamia sera na mipango husika kwa ajili ya maendeleo.
Uteuzi wa mawaziri kwa sasa umejikita sana kuzingatia mikoa, makundi maalaumu kama vijana, wazee ,akina mama na walemavu na wasomi na watoto na ndugu wa vigogo waliopita au waliopo.
Wafanyabiashara wakubwa hawamo wakulima na wafugaji wakubwa hawano,wenye viwanda vikubwa hawamo hii haijakaa sawa.
Hizo sekta ndizo mhimili mkubwa wa uchumi wawepo hata mawaziri wadogo tu toka hizo sekta.
Ni ubaguzi wa hali ya juu. Na ndio maana kunakuwa na sintofahamu mara nyingi sababu washika nafasi hawaelewi hizo sekta vizuri kama walioko huko kwenye hiyo sekta.