Youth champion
Member
- Feb 12, 2020
- 72
- 87
Habar wana JF ,
Actually sijawahi kuelewa vigezo gani vinatumika kwa account yako ya bank kuweza kugenerate control nø , je huu mfumo ni wa SMT na taasisi zake tu??
#Je kama ni Private companies ambazo zinahitaji kutoa huduma zao kwa kugenerate control nō wanaweza kuunganishwa na huduma hizi na #Je ni vigezo gani vinatumika katika hilo ??
Naomba kuwasilisha