Mfumo wa kuwasilisha maombi ya kazi Jeshi la polisi unasumbua sana

Mfumo wa kuwasilisha maombi ya kazi Jeshi la polisi unasumbua sana

Joshua Mbezi

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2024
Posts
1,994
Reaction score
4,446
Ni juzi tu Jeshi la polisi walitangaza nafasi za kazi kwa wananchi wenye sifa lakini Cha kushangaza ni kuwa mfumo wa kuwasilisha maombi una changamoto kila ukijaribu kujaza taarifa zako unakuandikia hv na muda unazidi kwenda sasa sijuhi wenye mamlaka wanawaza Nini kuhusu kadhia hii ya mfumo wao?
Screenshot_20250324-221949~2.jpg
 
Hapo shida ni wewe na sio mfumo, kama utakuwa walau unajua English kidogo utaona hapo kabisa wamekuambia index namba format ulioweka wewe na wanayotaka wenyewe wenye mfumo wao ndo shida ilipo, andika index namba kwa format waliyokuwekea wao pale sehemu ya index namba!!
 
Mkuu index number wanayotaka ni inategemea kiwango chako Cha elimu na index number hyo inapatikana kweny cheti chako unachotumia kuwasilisha maombi lkn kila ukiweka hyo index number Ngoma inakuandikia hvyo .
Jalibu kutumia index number ya form four
 
Hapo shida ni wewe na sio mfumo, kama utakuwa walau unajua English kidogo utaona hapo kabisa wamekuambia index namba format ulioweka wewe na wanayotaka wenyewe wenye mfumo wao ndo shida ilipo, andika index namba kwa format waliyokuwekea wao pale sehemu ya index namba!!
Msaidieni huyu kijana, anauliza mtu mwenye majina yafuatayo
1. Kasukali Mtani Jembe
Na
2. Kasukali M Jembe

Ana haja ya kuwa na affidavit ili kuonesha ni mtu mmoja?
 
Msaidieni huyu kijana, anauliza mtu mwenye majina yafuatayo
1. Kasukali Mtani Jembe
Na
2. Kasukali M Jembe

Ana haja ya kuwa na affidavit ili kuonesha ni mtu mmoja?
Kila point moja itakayokwenda tofauti na mpangilio wa majina, lazima affidavit. Ni usumbufu mkubwa wa ajabu sana.
 
Police Force ongezeni umri wakuchukua watu wenye degree mtu mwenye miaka 31,32 hawa nao wanahitaji nafasi izo adimu.
 
Back
Top Bottom