Joshua Mbezi
JF-Expert Member
- Oct 18, 2024
- 1,994
- 4,446
Jalibu kutumia index number ya form fourMkuu index number wanayotaka ni inategemea kiwango chako Cha elimu na index number hyo inapatikana kweny cheti chako unachotumia kuwasilisha maombi lkn kila ukiweka hyo index number Ngoma inakuandikia hvyo .
Msaidieni huyu kijana, anauliza mtu mwenye majina yafuatayoHapo shida ni wewe na sio mfumo, kama utakuwa walau unajua English kidogo utaona hapo kabisa wamekuambia index namba format ulioweka wewe na wanayotaka wenyewe wenye mfumo wao ndo shida ilipo, andika index namba kwa format waliyokuwekea wao pale sehemu ya index namba!!
Kila point moja itakayokwenda tofauti na mpangilio wa majina, lazima affidavit. Ni usumbufu mkubwa wa ajabu sana.Msaidieni huyu kijana, anauliza mtu mwenye majina yafuatayo
1. Kasukali Mtani Jembe
Na
2. Kasukali M Jembe
Ana haja ya kuwa na affidavit ili kuonesha ni mtu mmoja?
Uko Sahihi kabisaPolice Force ongezeni umri wakuchukua watu wenye degree mtu mwenye miaka 31,32 hawa nao wanahitaji nafasi izo adimu.