Graduate Engineer
Member
- Jan 5, 2021
- 21
- 13
Na mimi nasubiri jibu mkuuNapenda kukutanisha watumishi wa umma mbalimbali na maafisa wanao tumia huu mfumo katika majukumu mbalimbali kupeana hints, maswali na majibu ili kuweza kujiweka mazingira mazuri.
SWALI: Mwenye ufahamu je huu mfumo ushaanza kutomoa masters degree za by thesis (research only ambazo hazina G.P.A) ?
SWALI: Kupitia huu mfumo vitu gani vinaongeza credit kwa mtumishi katika kupanda maharaja au kupata promotion na kukua kitaaluma ?
Inatumika nn kiongozi?Lawson sahiv haitumiki
HCMIS huo hapo unatumika Sasa hiviInatumika nn kiongozi?