Mfumo wa luku unasumbua Tanesco kimya

Mfumo wa luku unasumbua Tanesco kimya

Wanarekebisha mfumo kwani hujui bei zimeongezeka kimyakimya
 
Asante mkuu umenikumbusha kitu juz nimenunua umeme kupitia simu hela wamekata token sijapata hadi leo halafu nilisahau kabisa maana nilimtuma mtoto akaenda kununua kwa wakala. Kupitia uzi wako nimekumbuka, sasa sijui tapataje hela yangu.
 
Back
Top Bottom