Madereva kila bus wapo wawili
kama gari halijasumbua yaani limefika salam basi hilo hilo linageuka kurudi dar na ndio maana siku nyingine dereva anachoka anamwambia boss gari bovu ili apate muda wa kupumzika ( yaani anasingizia ugonjwa)
Sent using Jamii Forums mobile app