Uhuru24
JF-Expert Member
- May 2, 2015
- 4,112
- 4,361
Nataka kujua madereva wa wanaoendesha mabasi kwenda mikoa eg ya Mwanza, bukoba yaani tuseme ile mikoa unakaa kwenye gari kutwa nzima ukoje??? Kwa mara ya kwanza mwaka huu ndio nimesafiri safari ya mbali kwenda Igunga tabora, kilichonistajabisha ni kwamba zaidi ya masaa 14 hadi kufika Igunga, Swali langu lipo hivi
01:Je dereva akifika mkoa husika, mfn KAHAMA, kesho anageuka na gari lake kurudi jijin dar??? Na gari lilelile???? Au atapangiwa siku ya pili yake kurudi tena dar????.
Nataka kujua hiki kitu wajameni
Sent using Jamii Forums mobile app