Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ni kampuni moja na huyo aliyeleta post?Mkuu kinachofanya haya mashimo yajae ni maji kwa kuwa tumeshapata sehemu ya kuyatolea ambayo ni hiyo soakway pit, ishu ya kinyesi , inakuwa hiv, kinyesi hiko kinapo changanyika na maji baada ya masaa kumi naa hiv kinatengeneza sludge ambayo hujitenga chini kabisa, hiyo sludge huliwa na bacteria,