Bado hawajakubaliana vigezo vya kujiunga na diploma za afya c3 au d3 ya masomo ya sayansi.Habari ya wakati huu.
Nilikua nahitaji kumuombea kijana mmoja kozi za afya ngazi ya diploma baada ya kupata taarifa jana kua mfumo umefunguliwa ila kila nikitembelea ukurasa wao Nacte naona tu tangazo la kuhusu udahili ila sioni mahala pa kuomba hizo kozi. Kwa aliyefanikisha naomba anijuze nikamilishe hili suala.
Natanguliza shukrani
Vuta subira mambo mengine yanahitaji umakini sanaaKumbe wanataka kubadili vigezo viwe c3 badala ya D3 sasa mbona wametoa Guide book.