Mzee Wa Kale Kabisa
JF-Expert Member
- Mar 25, 2018
- 2,621
- 4,322
Ni siku ya 3 sasa mfumo wa manunuzi wa serikali NeST unasumbua (haupatikani). Je hii ndio ile kuthibitisha kuwa Watanzania hakuna jambo tunaloliweza.?
Ikumbukwe kuwa mfumo huu unamilikiwa 100% na serikali hivyo wataalam wanaousimamia ni wa ndani. Na sio mara ya kwanza kwa kuwa mara kwa mara mfumo huu kusumbua na kukwamisha shughuli za uombaji zabuni kwa wazabuni wanaotumia mfumo huu.
Wahusika tunaomba muwe serious kidogo maana ishu ya mfumo kusumbua imekuwa ikijirudia mara kwa mara