Mzee Wa Kale Kabisa
JF-Expert Member
- Mar 25, 2018
- 2,621
- 4,322
Mkuu unajikuta unashindwa kuomba tenda kwa sababu mfumo uko down afu tenda inakuja kufunguliwa unakuta kama ungweza ku bid ungeshinda wwHuu mfumo umetukosesha hela sana kwakweli.
Ni siku ya 3 sasa mfumo wa manunuzi wa serikali NeST unasumbua (haupatikani). Je hii ndio ile kuthibitisha kuwa Watanzania hakuna jambo tunaloliweza.?
Ikumbukwe kuwa mfumo huu unamilikiwa 100% na serikali hivyo wataalam wanaousimamia ni wa ndani. Na sio mara ya kwanza kwa kuwa mara kwa mara mfumo huu kusumbua na kukwamisha shughuli za uombaji zabuni kwa wazabuni wanaotumia mfumo huu.
Wahusika tunaomba muwe serious kidogo maana ishu ya mfumo kusumbua imekuwa ikijirudia mara kwa mara
Bongo hamna kitu tunaweza zaidi ya udakuHata ESS nayo ni tiamaji tiamaji. Turudi kwenye makaratasi.
Huu mfumo ni kukwamishana tu...Huu ndiio ubaya wa kuwekana wekana kindugu ndugu work done equal to zero, madogo wabobevu wa IT wapo mtaani tu au mpaka wadukue huo mfumo wao
Pole sana mkuuHuu mfumo ni kukwamishana tu...
Imagine hadi leo mfumo haujakaa sawa! Taneps hakukuwa na haya mambo sasabu ulikuwa sio wetu ule mfumoTurudi Taneps