Trubarg
JF-Expert Member
- Jan 8, 2020
- 4,388
- 7,223
Habari wadau. Mfumo wa loss report wa online ulibuniwa ili kuweza kusaidia wananchi kupata huduma kwa haraka.
Mfumo huu kwa sasa umeingiliwa sijui na mdudu gani, unaweza pata control number ukalipia lakini ukitumia same control number kutafuta loss report yako inskuambuia hakuna record. Sasa hii inakuwa ni hasara tena coz inakuwa ni jambo la kubahatisha. Tunaomba wahusika wafuatilie hili jambo. Inakuaje control number wakupe wenyewe, uilipie alafu mwisho wa siku unaambiwa hakuna record kwenye hiyo control number. Ni tatizo kubwa sana