Hakuna kitu pale, siku serikali ikiwekeza kwa dhati kwenye soft infrastructure na kupunguza ubinafsi wataweza. Dunia ya leo hakuna kitu kipya, hakuna ubunifu wowote hapo kwani hii mifumo tayari ipo nchi kadhaa. Hii ni dalili ya upigaji na kwa hulka hii ni lazima hadi Yesu akirudi.Kila Jambo linakuwa na nukta ya kuanzia.Naamini wamefanya tathmini ya kina na kuona kwamba sasa ni wakati sahihi kwenda hewani.Changamoto zilizojitokeza naamini wahusika watazifanyia kazi.
Tuwapongeze wenzetu kwa ubunifu wenye lengo la kuongeza ufanisi wa kushughulikia masuala ya kiutumishi kwa Watumishi wa Umma.
Nawasilisha,
Article.