Mbaga Jr JF-Expert Member Joined May 28, 2018 Posts 54,814 Reaction score 133,717 Oct 4, 2026 #21 Troll JF said: Mwenye Wenge anayetembeza bahasha mtaani siyo mimi mi Principal sasa nimeshamaliza rank zote kwenye utumishi wa umma Click to expand... Nakubali mkuu, ila ingekuwa poa kama ungefatilia jambo kabla ya kuja kuleta malalamiko huku, mambo yameshabadilika na ukiwa kwenye database unaambiwa.
Troll JF said: Mwenye Wenge anayetembeza bahasha mtaani siyo mimi mi Principal sasa nimeshamaliza rank zote kwenye utumishi wa umma Click to expand... Nakubali mkuu, ila ingekuwa poa kama ungefatilia jambo kabla ya kuja kuleta malalamiko huku, mambo yameshabadilika na ukiwa kwenye database unaambiwa.
Troll JF Platinum Member Joined Feb 6, 2015 Posts 10,592 Reaction score 15,404 Oct 4, 2026 #22 Mbaga Jr said: Nakubali mkuu, ila ingekuwa poa kama ungefatilia jambo kabla ya kuja kuleta malalamiko huku, mambo yameshabadilika na ukiwa kwenye database unaambiwa. Click to expand... Ma jobless wanatakiwa kufuatilia na kujua hilo mi nafuatilia pesa zangu zilizoko kwenye ma bank
Mbaga Jr said: Nakubali mkuu, ila ingekuwa poa kama ungefatilia jambo kabla ya kuja kuleta malalamiko huku, mambo yameshabadilika na ukiwa kwenye database unaambiwa. Click to expand... Ma jobless wanatakiwa kufuatilia na kujua hilo mi nafuatilia pesa zangu zilizoko kwenye ma bank
Mbaga Jr JF-Expert Member Joined May 28, 2018 Posts 54,814 Reaction score 133,717 Oct 4, 2026 #23 Troll JF said: Ma jobless wanatakiwa kufuatilia na kujua hilo mi nafuatilia pesa zangu zilizoko kwenye ma bank Click to expand... Sasa ww umefuata nn kwenye huu uzi?
Troll JF said: Ma jobless wanatakiwa kufuatilia na kujua hilo mi nafuatilia pesa zangu zilizoko kwenye ma bank Click to expand... Sasa ww umefuata nn kwenye huu uzi?
Troll JF Platinum Member Joined Feb 6, 2015 Posts 10,592 Reaction score 15,404 Oct 4, 2026 #24 Mbaga Jr said: Sasa ww umefuata nn kwenye huu uzi? Click to expand... Platform haina zipu mi nazunguka tuu majukwaa yotee ila siyo kutafuta Ajira niko kwenye Payroll kitambo! Nashukuru Mungu baada ya kumaliza Chuo 2014 sikukukaa nyumbani hata miezi 06
Mbaga Jr said: Sasa ww umefuata nn kwenye huu uzi? Click to expand... Platform haina zipu mi nazunguka tuu majukwaa yotee ila siyo kutafuta Ajira niko kwenye Payroll kitambo! Nashukuru Mungu baada ya kumaliza Chuo 2014 sikukukaa nyumbani hata miezi 06