Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 48,444
- 194,235
Hata kama ulisoma sayansi pure. Hukusoma kiswahili?Taarifa inayoendelea kwa kasi sasa ni IT kuvurugika dunia nzima.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata kama ulisoma sayansi pure. Hukusoma kiswahili?Taarifa inayoendelea kwa kasi sasa ni IT kuvurugika dunia nzima.
Mifumo ya kibank ndo imepata hyo kadhiaMbona internet napata vizuri hapa? Au mifumo ya Kibank tu?
anahisi ni lazima atoe uzi humuDah ndo vijana wetu hawa hakuna na mna tuishinao tu...Mtu kweli unaanzisha uzi kama huu...?kwanini moderetor wasi ukaange.
Kumbe Avatar ya Yoda ni yako, mwenyewe hajafafanua wewe umejuaje?Sio magari ni mfumo wa computer mkuu
Huu ni ushahidi kamili kuwa kweli imevurugika na wamevurugwa.Nilikuwa nakuheshimu sana ujue
Deleted01 Asubuhi nilikwambiaje??Kuna tatizo la mtandao , computer hazipig Kaz.
Kumetokea tatizo la Kidunia la kuvurugika kwa mifumo ya IT ambapo imesababisha shughuli za usafiri wa anga, huduma za benki, huduma za stock exchange na huduma nyingine zinazotegemea uendeshaji wake kupitia Computer za Microsoft kusimamishwa kwa muda. Kwa upande wa watoa huduma za ndege wanatoa huduma hizo manually.Fafanua
Ni miongoni mwa moderators,ana namba zao za simuDah ndo vijana wetu hawa hakuna na mna tuishinao tu...Mtu kweli unaanzisha uzi kama huu...?kwanini moderetor wasi ukaange.
Ulitumia vibaya heshima yakoNilikuwa nakuheshimu sana ujue
Hahahahaha..kuna uzi humu jamaa ameelezea nikawa nime upitia kabla ya huuKumbe Avatar ya Yoda ni yako, mwenyewe hajafafanua wewe umejuaje?
Huyo ni Diaspora, sasa jiulize waliopo Motherland, mahali ambapo namba inasomeka vyema hali yao kwa “head” ipoje!?Watanzania tuna tatizo la ugonjwa wa akili!
Mtu anafungua uzi sentensi moja halafu anakimbia