Mfumo wa TEHAMA watetereka dunia nzima baada ya Kampuni ya Microsoft kupata changamoto kwenye mifumo yako

Sio kweli mkuu, mbona Gamondi kasema mchezaji atakayeperform mazoeni ndiye ataepata namba.
 
Kumetokea tatizo la Kidunia la kuvurugika kwa mifumo ya IT ambapo imesababisha shughuli za usafiri wa anga, huduma za benki, huduma za stock exchange na huduma nyingine zinazotegemea uendeshaji wake kupitia Computer za Microsoft kusimamishwa kwa muda. Kwa upande wa watoa huduma za ndege wanatoa huduma hizo manually.
 
Kwa afrika naona labda Afrika kusini ila kwigine na huku kwetu naona ipo kawaida ,ila huko ulaya ndo balaa
 
Dj weka Nipigie Ngoma ya Nandy kivuruge Ilinielewe Hii uzi🙂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…