Mparee2
JF-Expert Member
- Sep 2, 2012
- 3,092
- 5,386
Naamini kabisa kuwa, Serikali inania njema sana ya kukusanya tozo/mapato ambayo ni muhuimu sana kwa maendeleo ya Nchi
Hata hivyo napendekeza kuwe kunatolewa mashindano ya kupendekeza vyanzo vipya vya mapato kila mwaka tofauti kabisa na tulivyo navyo.
Ikitokea mtu akapendekeza chanzo na kikaonekana kinafaa basi apewe zawadi nono kama mtaji (mf: 50mil +)
Tunao wahitimu wengi vya vyuo na vijana wengi tu talented ila wanakosa nafasi ya kuisaidia nchi yao
Natamani tuwe na mifumo yetu ya kodi inayo endana na mazingiara yetu ya Kiafrika
1. Kuepuka kuweka kodi nyingi sana kwenye bidhaa moja
2. Tuboreshe mfumo wetu wa Payee uendane na mazingira ya Kiafrika kwani mfanyakazi wa Ulaya analipwa mara nyingi sana zaidi ya hapa na hana wategemezi (akilipwa ni zake) hivyo nahisi kuna haja ya kuwa na formula ya Payee wa Kiafrika
nk nk nk