KERO Mfumo wa ukaguzi wa risiti wa TRA kwa njia ya mtandao haufanyi kazi, kila risiti unayoweka ile receipt verification code inaandika risiti haitambuliki

KERO Mfumo wa ukaguzi wa risiti wa TRA kwa njia ya mtandao haufanyi kazi, kila risiti unayoweka ile receipt verification code inaandika risiti haitambuliki

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Mfumo wa ukaguzi wa risiti wa TRA mtandaoni haufanyi kazi. Kila Receipt Verification Code inayowekwa inaonyesha “risiti haitambuliki”.

Kama risiti haziwezi kuthibitishwa, imani yetu katika jinsi kodi inavyopokelewa na kusimamiwa inapotea.

Kuna maana gani ya kuwa na verification code kama mfumo haufanyi kazi?
 
Back
Top Bottom