KERO Mfumo wa uombaji mkopo HESLB OLAMS unasumbua

KERO Mfumo wa uombaji mkopo HESLB OLAMS unasumbua

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Inaonekana kama server za HESLB zimekua compromised kwa sababu kila ukitaka ku log-in kwenye akaunti yako inakataa na nimejaribu kutumia browser tofauti tofauti lakini shida ipo pale pale.

Tena nilivyo jaribu kutumia browser ya Firefox ndo ikaleta warning kabisa.

Tunaomba msaada kwenye hili kwa sababu deadline ya kuomba inakaribia na tutashindwa kupata mkopo

Screenshot 2025-08-03 072755.png
 
Kuverify nida tuu inakuambia ipo busy labda muda mwingine dah
 
Kuverify nida tuu inakuambia ipo busy labda muda mwingine dah
Inasikitisha sana huku namba ya Napa inakataa wanaandika "Introductory letter is not for bodi ya mkopo wa Elimu ya juu " wakati ndio yenyewe na death certificate inakataa kila mara opps.

Sijui tatizo Nini.
 
Mwisho wa mwezi huu
Kweli siku zimeisha, binafsi nimefanya postgraduate application. Nimemaliza hatua zote isipokuwa kudownload form ili ni sign. Wiki ya pili hii nasumbuka na kipengele hicho.
 
Hivi utaratibu ni kama awali kwa maana hatua ya mwisho ni kutuma downloaded forms kwa njia ya posta?
Sijui mwaka huu mwaka Jana hiko kitu kwa Undergraduate lilikuwa hakuna .
 
Back
Top Bottom