A
Inasikitisha sana huku namba ya Napa inakataa wanaandika "Introductory letter is not for bodi ya mkopo wa Elimu ya juu " wakati ndio yenyewe na death certificate inakataa kila mara opps.Kuverify nida tuu inakuambia ipo busy labda muda mwingine dah
Mwisho wa mwezi huuDeadline ni lini?
Kweli siku zimeisha, binafsi nimefanya postgraduate application. Nimemaliza hatua zote isipokuwa kudownload form ili ni sign. Wiki ya pili hii nasumbuka na kipengele hicho.Mwisho wa mwezi huu
Hivi utaratibu ni kama awali kwa maana hatua ya mwisho ni kutuma downloaded forms kwa njia ya posta?Mwisho wa mwezi huu
Sijui mwaka huu mwaka Jana hiko kitu kwa Undergraduate lilikuwa hakuna .Hivi utaratibu ni kama awali kwa maana hatua ya mwisho ni kutuma downloaded forms kwa njia ya posta?