Albendazole
Member
- Jul 21, 2021
- 34
- 68
Ulishawahi kumuona kipofu barabarani akikosea njia,na pembeni kuna mtu mzima wa kumsaidia,lakini Cha ajabu badala ya kutoa msaada anasepa akijisemea Moyoni yupo mwingine atakayekuja kumsaidia!!
.....najua kila ck watu wanalalamika,na wahusika wanaona malalamiko kila ck!! Ila wanasubiri Hadi wahusika wakuuu waje kusema ,ndo nao waanze kuchukua hatua
Leo hii mtoto wako yule aliyesomea nursing au lab amesoma kwa shida sana na amefata sheria na vigezo,uck kucha kajipinda aje kupata matokeo mazuri! Mungu si asumani lakini amefanya vizuri,Ila Cha ajabu huko kufaulu kwake na kusoma kwake hakuna tena maana na hawezi kuajiriwa,Hadi afanye mtihani mwingine WA Leseni na alipie!! Na yabidi apambane tena afaulu...la sivyo atabaki mtaani kama wenzake ambao hawajasoma kabisa!!
Cjajua,huu mitaala wa ma vyuoni kwa hizi fact inatungwa na akina nani?? Hadi mtoto anafaulu
Na hii mitihani ya leseni pia nayo inatungwa nani?? Ambapo mtu akifeli asiwe na kibali na haki ya kufanya kazi hata kama ana cheti Cha ufaulu....!!
Kama ni muhimu sana,kwanini wasiweke km somo ktk masomo,ili mtu akifaulu mara moja ijulikane amefaulu!!
Yote Tisa,
Daktari Umekaa mtaani miaka 4 bila kazi,
Then ghafla Linatoka Tangazo la kazi,na kigezo kimojawapo uwe na leseni valid, (namaanisha leseni ya kazi )
Unataka ku renew leseni yako alimradi ufanye application! Japo ubahatishe kama unaweza pata kazi....Cha ajabu system inataka kuwa kama unataka ku renew leseni yako au upate leseni Mpya basi ulipie miaka yoote hiyo Toka ulipomaliza chuo! Yani kila mwaka yabidi uulipie,haijalishi umefanya kazi au la,haijalishi ulikuwa unauza vitumbua,ulikuwa unaumwa,Au ulikaa Nyumbani ttttu
Haya unalipia leseni yako mwezi wa kumi 2022 ambayo ni ya mwaka mzima ukitegemea Hadi mwakani (2023) tar na mwezi uliyo renew ndio ita-expire!!
La haula!! Mfumo unasema leseni yako ety mwisho wa matumizi ni 31/12/2022 December
Haijalishi ulilipia tar ngapi mwez wa ngapi...
Uanze process upyaaaaaaaa,
Za kulipia,la sivyo utakuwa hauna vigezo vya kufanya kazi au kuajiriwa
Najua Kodi ni muhimu sana kwa maendeleo ya taifa Leo,
Lakini kwa namna hii.....
#hapana
Naomba kuwasilisha hoja