Changer 22
Member
- Jul 29, 2022
- 11
- 5
Nianze kwa kusema naipongeza serikali kwa juhudi kubwa iliyoiweka katika utengenezaji was miundombinu mizuri hasa madarasa pamoja na kuweka mikopo Kwa wanafunzi wa Elimu ya juu.
Swali linabaki Moja je, uwekezaji huu wa serikali kwenye Elimu utawezesha vijana kuwa na fikra chanya juu ya maendeleo nchi baada ya miaka 50 ijayo au Bado Serikali itaendelea kuzalisha tegemezi?