Mfumuko wa bei huku mtaani unashamiri, kuna nini kinaendelea?

Mfumuko wa bei huku mtaani unashamiri, kuna nini kinaendelea?

Nyumisi, wakati unachagua wa kumpigia kura huwa humpimi mgombea mwenza/msaidizi?

Maana yeye uliyemchagua anachagua mtu ambaye ikitokea hayupo basi anaamini atamalizia kazi yake vizuri. JPM mara mbili zote aliamua kwenda na Samia.

Mfano, mgombea akasimama na mgombea mwenza shoga utampa kura?

Katiba mpya itapatikana tu hakuna shaka. Ni suala la muda.
Nikiwahi kumsikia JPM kuwa chaguo lake la mgombea mwenza ilikuwa Hussein Mwinyi lakin deep state walikataa wakapendekeza SSH
 
Hii ndio point,

Mzee alikuwa commited kukontrol ujinga ujinga lakin mapuuzi yaliolaaniwa yanamponda, ilikuwa watu wanahodhi dola ili zipande bei akawajua akabana mwanya, kila penye inflation akabana mwanya, sasa wameingia furahieni show....na bado nishati ya umeme mtakuja shuhudia matukio heavy.
Uzuri wote tunaguswa na matokeo

Sent using Jamii Forums mobile app
Mawazo ya fukara
 
Back
Top Bottom