Mfumuko wa bei kwa bidha mtaani unatisha, hasa vifaa vya ujenzi

jambaz

Member
Joined
Dec 2, 2023
Posts
21
Reaction score
44
Baada ya kupita miji na majiji kadha hapa nchini kila nilipojaribu kununua vifaa vya ujenzi nimeshikwa na butwa kuona kalibu kila bidha bei imeongezeka kwa aslimia 30 hadi 50 kwa bei za awali.

Baada ya kuuliza wafanyabiashara wawili watatu nimeambiwa hali hiyo wanajua serikali. Sasa niombe waziri wa viwanda na biashara atoe tamko ,hali ni mbaya sana .
 
Kupanda kwa vifaa hasa vya ujenzi haikwepeki maana vingi tunaagiza kutoka nje, January 2024 dola ilikuwa inachezea 2,400 sasa hivi mwezi wa nane inachezea 2,750 ......
 
Hivi ni visingizio vya kijinga sana
 
Niliita fundi wa wiring ikabidi nimwambie nenda nitakuita tena
Ofisini kwangu nilikua nataka kupiga wiring ili kusambaza umeme sehemu za mapokezi,chooni na chumba cha huduma. Fundi alinishauri tukanunue kwa bei ya jumla tukaenda wote huko madukani huwezi amini bajeti tulipanga laki 2 nikatumia laki 3.5+ .
 
Na ni ofisini imagine nyumba vyumba 4 na vibaraza vyake
 
Mi nilishangazwa sana kuona mpaka pipi kifua inauzwa shilingi mia. Yani kwamba ukiwa na hamsini saivi hupati hata pipi. Hii ni hatari. Shilingi mia tano tunapoelekea itageuka kua kama shilingi mia
 
Aisee ile siku nilikua nasonya kishenzi na hapo vifaa nilinunua kampuni mseto ningeweka tronic tupu ingegonga laki 4 huko na upuuzi
 
Mi nilishangazwa sana kuona mpaka pipi kifua inauzwa shilingi mia. Yani kwamba ukiwa na hamsini saivi hupati hata pipi. Hii ni hatari. Shilingi mia tano tunapoelekea itageuka kua kama shilingi mia
Mkuu sasa ukija kwenye biashara ndo utakimbia hizo kodi walahy kama huna moyo mgumu lazima urudishe jengo la watu.
 
Hapo bado hujazungumzia nauli za mabasi na daladala. Kiukweli haki sio shwari
 
Back
Top Bottom