USA Mfumuko wa bei ulikuwa 2.2% kabla ya Corana sasa ni 8.3% hili sio tatizo la Tanzania pekee. Bei ya Chakula imepanda kwa takribani 40% kuanzia nyama, maziwa, mafuta hata hapa kwa wachimbaji Texas in $4.25 kwa Lita 3.7 au gallon moja.
Hivyo ni lazima tujue hili sio tatizo la Tanzania pekee karibu nchi zote kuna mfumuko wa bei kwa sasa.