Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo simba na YangaWamefikia ukomo namna ya kuongoza kwa ueledi kilichobaki kwao ni mipango ya kuendelea kutawala .
Hawana jipya mbaya zaidi na sisi wananchi tumekuwa kama makalia yanayotumiwa na mafundi kwenye ujenzi ,fundi akimaliza kazi hana habali nalo.
Yaani tupotupo wenye utambuzi na wenyewe wamekubwa ni woga tena uwoga kwelikweli. Hatujui hatma itakuwaje,maana nionavyo mimi nafikili labda mkazo waongeze .
Kila kitu gharama zake ziongezeke mara mbili Ili utayari wa kusema hapana uwepo kwetu sote na kama kuandamana kushinkiza kiongozi fulani awajibike wataweza maana watakuwa hawana namna
Tatizo Mwenge na Simba na yangaKila nikijiuliza kwa nini hawa watu wapo madarakani mpaka leo sipati jibu.. Nadhani watanzania tulipewa kitu cha kutupumbaza akili...
Japo issue hapa ni kupanda kwa gharama za maisha na sio tu deni la taifa,Hili deni mmeanza kumtwisha Samia?
Aliekopa hela nyinyi kimyaa kimyaa hamumjui?Samia ndo kaleta deni la trilioni 71?...hamnaga aibu mkiamua kumchafua mtu?
Japo issue hapa ni kupanda kwa gharama za maisha na sio tu deni la taifa,
Ngoja nikusaidie kidogo.
Unajua ndani ya mwaka mmoja zimekopwa bei gani, na bei gni zaidi ya kilichopitishwa na bunge?
Imepitishwa 10tr
Imekopwa 15.9tr
Kilichozidi kinakwenda kwenye miradi ipi ambayo bunge halijaidhinisha kuikopea?
Twende taratibu, per year average za yule wa kimya kimya ngapi na mama zake ngapi...
Hamieni ambako Hakuna mfumuko wa Bei msituchoshe.Shaka anazungumza kwa uwazi kwamba Mwenyekiti wa CCM Taifa ameifungua nchi.
Anazunguka duniani kuipaisha Tanzania.
Ziara za Rais zimetuzawadia deni la Taifa kufikia Trillion 71+ mpaka sasa.
Shaka anataja mafanikio mengi yatokanayo na utekelezwaji wa ilani ya CCM.
Sasa hivi bidhaa muhimu hazishikiki sokoni. Bei imepanda na inaendelea kupanda maradufu.
Je, hili la mfumuko wa bei ni utekelezaji wa ilani ya CCM?
Uoga wetu
Grow up dudeWhy unakuwa taken na hoja dhaifu Kama hizi?
Kama mwaka mmoja tumekopa kwa Bunge kuidhibisha...
Je miaka mitano iliyopita kabla tulikuwa tunakopa Kwa idhini ya Nani?
Why Wale waliokuwa Wana support awamu iliyokopa bila kikomo Leo ndo wanakumbuka kuwa kuna Bunge ?
Double standards hizi tuzikubali Kwa nini?
Mimi na wewe tunajua kabisa mfumo uliopo hauruhusu kukosolewa na endapo utajitokeza wazi wazi jiandae kuishi kama shetani.Nchi hi tatizo sio mifumo, tatizo Ni uzwazwa wa baadhi ya watu wanaojifanya kujua na kuhamishia mashambulizi ya wahujumu uchumi kwenye social media
Suala la kupambana na rushwa na ubadhilifu wa mali za umma Ni jukumu la kila mtu kwa uwazi mkubwa. Km unaona una evidence za kutosha kwa wapigaji peleka kwenye vyombo vinavyohusika ili hyo mtu achukuliwe hatua. Kusema sema tu humu hakutasaidia kitu